Genesis 37:24

24 aKisha wakamchukua wakamtupa katika shimo. Wakati huo shimo lilikuwa tupu, halikuwa na maji ndani yake.

Copyright information for SwhNEN